Waziri wa Madini Mhe.Angellah Kairuki
Waziri
wa Madini Mhe.Angellah Kairuki amewatahadharisha watumishi wa umma
hususani walio katika sekta ya madini kuacha tabia ya kutanguliza
maslahi binafsi na kuacha kutimiza wajibu wao ambapo amewataka
wananchi kutoa taarifa hata kwa siri kuwafichua watendaji wanaomiliki
leseni za uchimbaji madini au wanaojihusisha kwa namna yoyote na
biashara hiyo kwani wengiwao ndio wamekua wakishiriki kuhujumu
serikali.

Kairuki anabainisha hayo mkoani Morogoro, wakati akifungua mafunzo ya
kazi kwa viongozi na maafisa waandamizi wa tume ya Madini ambapo
amesema zipo taarifa zinazo onyesha kuna baadhi ya watumishi
wanamiliki hisa kwenye migodi na viwanda mbalimbali hali inayopelekea
kushindwa kusimamia ipasavyo nafasi zao suala ambalo serikali haita
lifumbia macho.

No comments:
Post a Comment