Mwanamuziki
wa Hip Hop kutoka Mombasa nchini Kenya Kaa la Moto amemshirikiana
Mkongwe wa mtindo wa Bango nchini humo Mzee Ngala na kusema amefanya
hivyo ili watu wajue mziki wa hip hop ni wa rika zote.
Akiongea
na Enews Kaa la Moto ambae ameachia wimbo huo alioupa jina la
NISIKILIZE MWANANGU amesema ameua kufanya muziki huo kiafrika zaidi
kuweza kuufanya muziki mzuri uendelee kuishi.
KAA LA MOTO AKUBADILISHANA MAWAZO NA MZEE NGALA


No comments:
Post a Comment