Breaking News
recent

LUGUMI APELEKWA KWA MH WAZIRI WA MNN


 Mfanyabiashara Said Lugumi akiongozwa na Ofisa wa Polisi kuelekea ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenda kuonana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola.

Mmiliki wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd. Bw. Said Lugumi leo ameitikia wito wa kuripoti kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi kwa ajili ya mahojiano zaidi kuhusiana na mkataba wenye utata kati yake na Wizara hiyo.

Bw. Lugumi leo Asubuhi ameripoti Makao Makuu ya Polisi Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Jijini Dar es Salaam na baada ya hapo akaongozwa na Ofisa wa Polisi kuelekea ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenda kuonana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola .

gmbongo tha entertainer

gmbongo tha entertainer

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.