Mwanamuzi
wa Muziki wa Dansi nchini aliwahi kutamba na Band ya Twanga Pepeta
ambae sasa ameibukia band ya Double M Plus amesema mashabiki wake
wawe tayari kwa kibao kikali cha Mapungufu Yangu
Dogo
Rama ambae album yake ya Kilimota 10000 ilifanya vizuri amesema kwa
sasa ameandaa wimbo kwa ajili ya band yake mpya lakini bado yupo
kwenye mchakato wa kukamilisha Album yake nyingine ya Kilometa Party
2
KING Dogo Rama
Dogo
Rama ame sema wimbo wa Mapungufu yangu una ujumbe tofati na nyimbo
nyingi za sasa ambazo zimejaa mapenzi wakati kuna maisha mengine
zaidi ya mapenzi.

No comments:
Post a Comment