Aliekuwa
Mgombea Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuptia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mhe. Edward Lowassa
amewapa changamoto Mameya wa Manispaa ya Kinondoni na Ilala ili
kudhihirishia umma kuwa upinzania unaweza kuongoza na kufanya vizuri
zaidi.
Akizungumza
na Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na
Mameya hao ofisini kwake na kusema Manispaa za Jiji la Dar es Salaam
zimeshindwa kukusanya mapato hivyo kwa kutumia nafasi hiyo wanaweza
kuwa vizuri zaidi katika eneo hilo.
Mhe. Edward Lowassa
Mh.
Lowassa ametaka Uthubutu wao wa kufanya maamuzi ya busara ambayo
yanaonekana kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kusimamia
ipasavyoshughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kusimamia sheria
zilizowekwa hekima na busara.
Kwa
upande wao Mameya hao wa Kinondoni na Ilala walisema watakafanya kazi
kwa kauli mbiu ya mabadiliko na kazi ikiwa ni pamoja na kusimamia
ipasavyoshughuli za maendeleo ikiwemo ujenzi,Usafi na Ukusanyaji
mapato

No comments:
Post a Comment