Huduma za matibabu katika
hospitali ya Butimba wilayani Nyamagana Mkoa Mwanza zililazimika
kusimama kwa zadi ya saa sita kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa
hospitali hiyo wakidai hofu ya usalama wao wakati kazi
Mgomo huo wa wafanyakazi hao umekuja ikiwa ni baada ya siku chache hospitali hiyo kukumbwa na kashfa ya kusababisha vifo vya mama mjamzito na wanawe wawili mapacha huku mama mwingine akipoteza wanawe wawili mapacha wakati wa kujingua.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamaga Bw. Baraka Konisaga
Wakizungumza katika kikao cha pamoja na Mkuu wa wilaya hiyo Kaimu Mganga mfawidhi wa hosptali hiyo Dkt. Agness Mwita na Hoseana Kusiga ambae ni kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mwanza wamesema watumishi wamekua wakifanya kazi katika mazingira magumu tangu matukio hayo yatokee.
Hata hivyo Mgomo huo ulimalizwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyamaga Bw. Baraka Konisaga baada ya kukutana na wafanyakazi wa hosptali hiyo na kuwaondoa hofu kwa kuwahakikishia usalama wakati wote wa kazi.

No comments:
Post a Comment